Saturday, 24 January 2015

TAMASHA Foundation Course:


TAMASHA Foundation Course:
Kwa wale wanaofanya shughuli za vijana na maendeleo.
Kozi maalum ya Msingi kuhusu vijana na maendeleo shirikishi kutoka kwa wawezeshaji mahiri wa TAMASHA.


                             MADA:
Vijana na maendeleo (youth and development)
Uraghbishi (animation)
Ushiriki (participation)
Stadi za maisha (life skills)
Tathmini Thaminifu (appreciative inquiry)
Utafiti shirikishi (participatory action research)

Ikiwemo fursa ya kutembelea vivutio vya kitalii Arusha na kufanya kazi na vikundi vya vijana.
Vyeti vitatolewa.

Kozi itafanyika Arusha, kuanzia tarehe 16 – 25 Februari 2015.
Kwa wale wanaopenda kushiriki tafadhali tuwasiliane ili kupata maelezo zaidi kuhusu namna ya kushiriki pamoja na gharama.

Tuwasiliane kwa barua pepe: wchachi@yahoo.com ama vtmasha@gmail.com ama inbox Facebook.
                       
                                        Wote Mnakaribishwa.
 

Tangazo hili limeandaliwa na Naibu Mkurugenzi TAMASHA CHURCHIL SHAKIM
                                                 



 Hii ni miongoni mwa foundation course iliofanywa na TAMASHA kipindi kilichopita.

1 comment:

  1. FURSA hii ni kwa wote na aina ubaguzi cha muhimu ni kujua taratibu za kuingia kwenye course hii

    ReplyDelete