Tuesday, 24 February 2015

TUNAPOZUNGUMZIA MAENDELEO YA JAMII TUNAZUNGUMZIA MAENDELEO YANAYOWAGUSA VIJANA, BILA YA KUSAHAU USHIRIKI WA MAWAZO YAO KATIKA MIPANGO NA UTEKELEZAJI.


Hawa ni baadhi ya vijana kutoka mikoa tofauti walioudhulia katika kozi yetu ya msingi ambayo inaendelea jiji ARUSHA mpaka tarehe 27 feb 2015

No comments:

Post a Comment