Kama vijana yatupasa kuchukua na kutumia fursa pamoja na kuwa wathubutu katika kuleta maendeleo ya Taifa, tunapozungumzia fursa ni zile nafasi tulizopewa katika jamii. Na kumbuka anayekupa nafasi anakuamini,vijana ni taifa la leo na sio kesho kama wengine wanavyozani, nakataa kutumiwa katika kukandamiza wanyonge na kuwanufaisha wengine ilo ndio wazo letu TAMASHA.
Kama vijana tunaweza kubadilisha taifa la watanzania na kuwa taifa lenye maendeleo chanya kwa kuwa wathubutu katika kuishawishi serikali kujua uwepo na umuhimu wa vijana katika taifa.
this is country of youth
ReplyDelete