Mkurugenzi mtendaji wa TAMASHA Mh. RICHARD MABALA anatalajiwa kufanyiwa maojiano na taasisi ya kuelimisha,kuhamasisha na kuunganisha wajasiriamali inayojulikana kama STARTUP GRIND,taasisi hii inafanya kazi miji 150 na inchi 65 dunia, kwa upande wa Dar es salaam Tanzania inawakilishwa na EMMANUEL SIMON ambaye pia ni muanzilishi na mkurugenzi wa ubunifu inc.STARTUP GRIND inaendesha programu hii kila mwisho wa mwezi kwa kumuhoji mwanaharakati au mjasiriamali aliyefanikiwa .
Mahojiano haya yanatarajiwa kufanyika BUNI taasisi ya vijana wajasiriamali kwa upande wa teknolojia tarehe 25 june katika jengo la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Sayansi.
haya yalikuwa mahojiano yaliopita hapa EMMANUEL SIMON na NUYA HELLEN DEUSEN(kulia) BUNI HUB
(Nuya's Essence)
(Nuya's Essence)
RICHARD MABALA
MKURUGENZI MTENDAJI TAMASHA (GUEST)
EMMANUEL SIMON
STARTUP GRIND (HOST)
BUNI HUB
COSTECH SAYANSI (VENUE)
Kujua jinsi ya kushiriki tembelea www.starupgrind.com au wasiliana kwa namba 067 440 405 6
www.tamashavijana.org
startupgrind.com
buni.or.tz
No comments:
Post a Comment