Thursday, 16 April 2015

UMUHIMU WA KUJITAMBUA KAMA KIJANA,ILI KUWA MKOMBOZI WA JAMII




Hizi ni moja ya picha zinazooneshe siku ya mwisho ya foundation caurse iliyoandaliwa na kituo cha huduma rafiki kwa vijana (TANDALE YFSC),mafunzo haya yalipata bahati ya kutembelewa na RICHARD MABALA mkurungenzi mkuu wa TAMASHA ambaye pia alikuwa kama muhezeshaji mkubwa kwa siku hii ,pia alifutiwa na JOHNBEST ambaye ni mwanaharakati wa maswala ya vijana kutoka taasisi ya vijana ya umoja wa mataifa YUNA.


Mafunzo haya ya msingi yaliandaliwa na kituo hiki kwa lengo  kuu la kuwandaa vijana wapya ambao watakuwa kama waelimishaji rika katika kituo hicho.Kupitia mafunzo haya vijana walipata kujua sifa za muhezeshaji na namna ambavyo muhelimishaji rika anavyopaswa kuwa.

No comments:

Post a Comment