TAMASHA Vijana Provides a critical youth perspective on all aspects of development and lobby for the inclusion of adolescents and young people as a whole and the most marginalized groups of young people in particular.
Richard Mabala (Tamasha) at Startup Grind Dar es Salaam
video ikimuonesha mkurugenzi mkuu wa TAMASHA mh. Richard Mabala
akifanyiwa mahojiana na Emmanuel Simon kutoka STARTUP GRIND yaliofanyika
kwenye taasisi ya vijana bunifu inayopatikana costech sayansi maarufu
kama BUNI HUB,
Vizur sana mzee well done
ReplyDeleteni jukumu letu kaka omary mnimbo
Deletehii ni kwa vijana wote si arusha pekee
ReplyDelete