Wednesday, 9 September 2015

UZURI WA INCHI LUSHOTO CAMPING THIS DECEMBER 2015

Loitorok Expedition inakukaribisha katika Uzuri~wa~nchi Lushoto Camping...
Safari hii ni zaidi ya kawaida, mwezi December 2015. Your chance to experience unsung touristic attractions in Tanzania. There is more to see than Serengeti. 



Be a part of a wonderful social tourism program.
- Engage with community members in Usambara villages
- Do something at the orphanage
- Story telling sessions with the elders


More fun at
- Mkuzu waterfall
- Growing rock
-
Magamba rainforest


                                                         Magamba rainforest
              

                                                            Mkuzu waterfall

Amazing photo sessions and selfie at Irente View Point. Get ur instant photo prints at the camp and a package of more than 100 photos from all events
.
Get more fun
Music, nyama choma, campfire at night, paint ball shooting in the forest, canvas painting and partying


Join a one week program. A package includes your meals, drinks and accomodation in touristic tents.

NATURE HAS NEVER BETRAYED US..
Karibu Lushoto ushuhudie Uzuri wa Nchi at affordable price.
For more info please contact us through

Fikiri Elias at: el_fikiri@yahoo.com
Bahati Mabala at: bahati.mabala@gmail.com
Churchill Shakim at: wchachi@yahoo.com


Follow us for more updates.
I
nstagram: loitorok

Wednesday, 26 August 2015

RICHARD MABALA NDANI YA STARTUP GRIND`S EVENT









 Tukio nzima ilifanyika pale BUNI HUB COSTECH sayans ambapo wahuzuliaji walipata nafasi ya kumjua Mabala pamoja na taasisi yake  maendeleo shilikishi ya vijana  wa  arusha (TAMASHA) inayofanya kazi tanzania nzima. event ilienda vizuri na kufanya kila mtu kufurahia hujio wake kama mgeni muharikwa.

Thursday, 6 August 2015

Richard Mabala (Tamasha) at Startup Grind Dar es Salaam

                                     video ikimuonesha mkurugenzi mkuu wa TAMASHA  mh. Richard Mabala
akifanyiwa mahojiana na Emmanuel Simon kutoka STARTUP GRIND yaliofanyika
kwenye taasisi ya vijana bunifu inayopatikana costech sayansi maarufu
kama BUNI HUB,

Saturday, 13 June 2015

MKURUGENZI MTENDAJI WA TAMASHA KUFANYIWA MAHOJIANO TAREHE 25 JUNE


Mkurugenzi mtendaji wa TAMASHA Mh. RICHARD MABALA anatalajiwa kufanyiwa maojiano na taasisi ya kuelimisha,kuhamasisha na kuunganisha wajasiriamali inayojulikana kama STARTUP GRIND,taasisi hii inafanya kazi miji 150 na inchi 65 dunia, kwa upande wa Dar es salaam Tanzania inawakilishwa na EMMANUEL SIMON ambaye pia ni muanzilishi na mkurugenzi wa ubunifu inc.STARTUP GRIND inaendesha programu hii kila mwisho wa mwezi kwa kumuhoji mwanaharakati au mjasiriamali aliyefanikiwa .


Mahojiano haya yanatarajiwa kufanyika BUNI taasisi ya vijana wajasiriamali kwa upande wa teknolojia tarehe 25 june katika jengo la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Sayansi.



haya yalikuwa mahojiano yaliopita hapa EMMANUEL SIMON na NUYA HELLEN DEUSEN(kulia)  BUNI HUB
(Nuya's Essence)
(Nuya's Essence)




RICHARD MABALA 
 MKURUGENZI MTENDAJI TAMASHA (GUEST)
 
 
 
 EMMANUEL SIMON 
STARTUP GRIND (HOST)
 
 
  BUNI HUB
COSTECH SAYANSI (VENUE) 
 
 Kujua jinsi ya kushiriki tembelea www.starupgrind.com au wasiliana kwa namba 067 440 405 6
 
 www.tamashavijana.org
 
 startupgrind.com 
  buni.or.tz

Thursday, 11 June 2015

ZOEZI LA UKUSANYAJI WA MAONI YA VIJANA KUHUSU NDOTO NA MALENGO YAO

TAMASHA imeendesha zoezi la kukusanya maoni ya vijana wa kiume na wakike kuhusu ushiriki wao na fursa zao za kujikimu, zoezi hili limefanyika kwa muda wa siku mbili tarehe 9 na 10 Juni 2015 katika kata za Tandale iliyopo wilaya ya Kinondoni na Kibada wilayani
Temeke.


Lengo kuu lilikuwa kupata mitazamo kuhusu ndoto na malengo ya vijana pamoja na kuwasilisha maoni hayo kwa DfID ili kulinganisha na maoni yao kuhusu vijana na mahitaji yao.

Baadhi ya washiriki wakiume Tandale wilayani kinondoni wakiwa katika hatua ya kuchora mchoro ambao ulionesha ndoto na malengo yao,ilikuwa hatua ya vijana ya vijana kujua na kutambua ndoto na malengo yao kama vijana.


Kwa Dar es Salaam kulikuwa na jumla ya vijana 60 waliogawanyika katika makundi manne ya vijana 15 kwa kila kundi yakiwa na umri tofauti; kundi la kwanza la wavulana wenye umri kuanzia miaka 15 – 19, kundi la wavulana wenye umri kuanzia miaka 20 – 24, na hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa upande wa wasichana. Katika siku mbili za zoezi la ukusanyaji wa maoni ya vijana kuhusu ushiriki wao na fursa zao za kujikimu, tuligawa makundi kwa kufuata umri wao kwa kuanza na wavulana pamoja na wasichana wenye umri kati ya miaka 15 – 19. Siku ya pili tulimazia kwa makundi yaliyobaki ambayo lenye wavulana wa umri kati ya miaka 20 – 24 na wasicha walio katika umri wa miaka 20 – 24.





Baadhi ya washiriki wa kike katika kijiji cha  kibada wilayani temeke  wakiwa katika mazungumzo ya pamoja kueleza ndoto na malengo yao kama vijana.